Jisajili!
Dhibiti na Epuka Madhara ya Kisukari na Presha
Tumia mbinu ya Kisasa!
AfyaPlan ni programu ya kisasa inayokusaidia kudhibiti na kuepuka madhara ya presha na kisukari.
Ukiwa na AfyaPlans App, unapata elimu sahihi, unaweza kufuatilia na kutathmini matibabu yako na hivyo kukuwezesha kuchukua hatua stahiki mapema.
![AfyaPlan Application-kwenye simu yako](https://kisukari.afyatechtz.com/wp-content/uploads/2024/10/AfyaPlan-Application-kwenye-simu-yako.png)
Badilika
AfyaplAN APP INAVYOWEZA KUBORESHA MAISHA YAKO
Ingiza kiwango cha Sukari
Ingiza kiwango cha Lehemu
Ingiza Kiwango Cha HbA1C
![Dr.-Adinan-Juma-cbg_SURG-AFRICA-AFYATech-100x100](https://kisukari.afyatechtz.com/wp-content/uploads/2024/08/Dr.-Adinan-Juma-cbg_SURG-AFRICA-AFYATech-100x100-2.webp)
Dr. Adinan J.
AfyaPlan App imebuniwa na Dr. Adinan kwa kushirikiana na wagonjwa wa kisukari na presha. Dr. Adinan ni daktari wa binaadamu, mkufunzi wa vyuo na mtafiti.