Vyakula vya kushusha sukari Mwilini
You need to be logged in to view this content. Please Log In. Not a Member? Join Us
Vyakula vya kushusha sukari Mwilini Read More »
You need to be logged in to view this content. Please Log In. Not a Member? Join Us
Vyakula vya kushusha sukari Mwilini Read More »
Ratiba ya chakula kwa mtu mwenye kisukari inasaidia kudhibiti kisukari. Hatahivyo, kabla ratiba iweze kukusaidia kudhibiti kisukari kuna mambo ya kufahamu na ya kuzingatia. Kisukari
Wagonjwa wa kisukari wamejikuta kwenye changamoto ya kuwa na wasiwasi wa kula karibia aina zote za vyakula walivyovizoea. Kwenye makala hii inakuelekeza namna ya kudhibiti sukari yako kwa kupanga mlo wako. Fahamu zaidi
Vyakula vya Mgonjwa wa Kisukari: Jifunze Mbinu Sahihi Read More »
Ratiba ya chakula kwa mgonjwa wa kisukari husaidia kudhibiti kisukari. Hatahivyo kuna ya kuzingatia ili uweze kudhibiti kisukari. Soma zaidi kufahamu
Nafaka na umuhimu wake kwa afya Nafaka ni sehemu muhimu ya lishe yetu na zina jukumu kubwa katika kudumisha afya bora. Nafaka ni chanzo kikubwa
Nafaka na umuhimu wake kwa afya Read More »
Utata Kuhusu mayai Mayai yamekuwa chakula muhimu katika Milo ya watu wengi duniani kote, lakini wakati mwingine kuna maswali kuhusu ulaji wake hasa kwa wagonjwa
Ulaji wa Mayai kwa Mgonjwa wa Kisukari: Lishe, Tahadhari, na Ushauri Read More »
Fahamu vinywaji bora kwa mgonjwa wa kisukari vinavyosaidia kudhibiti sukari kwenye damu. Soma zaidi tafadhali
Je, Asali kwa mgonjwa wa kisukari ni Salama? Read More »
Sio protini zote zinazofaa kwa mgonjwa wa kisukari. Kwenye makala haya ya protini na kisukari tunakufundisha jinsi ya kuchagua protini bora kwa afya yako.
Protini na Kisukari: Chagua Protini Bora Kwa Afya Yako! Read More »
Mama mwenye kisukari unahitajika kunyonyesha kutokana na faida nyingi kwako na kwa mtoto wako. Moja ya faida hizi ni kupunguza hatari ya magonjwa. Hatahivyo unaponyonyesha kiwango cha sukari kwenye damu hubadilika hivyo kuhitaji wewe kuwa na uelewa sahihi ili kuweza kulinda afya yako na ya mtoto wako. Tafadhali soma zaidi
Lishe kwa mgonjwa wa kisukari anayenyonyesha Read More »
Vyakula huathiri vipi ugonjwa wa kisukari? Aina ya chakula unachokula kinaweza kuathiri kiwango cha sukari kwenye damu yako. Vyakula vingine huongeza kiwango cha sukari
Lishe Bora Kwa Mtu Mzima Read More »