Madhara ya Kisukari: Hatari unayoweza Kuiepuka
Unaweza kudhibiti na kuepuka madhara ya muda mfupi na mrefu ya kisukari kwa elimu sahihi na tahadhari.
Madhara ya Kisukari: Hatari unayoweza Kuiepuka Read More »
Unaweza kudhibiti na kuepuka madhara ya muda mfupi na mrefu ya kisukari kwa elimu sahihi na tahadhari.
Madhara ya Kisukari: Hatari unayoweza Kuiepuka Read More »
Kisukari huaribu mishipa ya fahamu, mishipa ya damu na hudhoofisha kinga ya mwili. Haya yote husababisha kupata vidonda kwa haraka, kupata maambukizi na kuchelewa kupona. Soma kufahamu namna ya kujikinga
Vidonda Vya Miguuni Kwa Mgonjwa Kisukari : Fahamu Chanzo, Athari, Tiba na Kinga Read More »
Kisukari kinasababisha vifo na ulemavu kwa watu wengi. Kwa kufanya vipimo hivi, unaweza kudhibiti Kisukari na kuepuka madhara yake kwa kuifanyia tathmini afya yako na kuchukua hatua stahiki mapema. Tafadhali soma kufahamu vipimo muhimu
Vipimo Muhimu Kwa Mgonjwa wa Kisukari Read More »
Mazoezi yana umuhimu mkubwa katika kuzuia na kudhibiti shinikizo la juu la damu (Presha)
Hatahivyo, ni MUHIMU kutambua ni mazoezi gani, yafanywe kwa muda gani na tahadhari za kuchukuwa wakati unachagua aina ya mazoezi ya kufanya kulingana na hali yako ya presha.
Mazoezi kuzuia au Kudhibiti Presha Read More »