Ratiba ya Chakula kwa Mtu Mwenye Kisukari Inasaidia: Kwanini wengi hufeli kudhibiti Kisukari!
Ratiba ya chakula kwa mgonjwa wa kisukari husaidia kudhibiti kisukari. Hatahivyo kuna ya kuzingatia ili uweze kudhibiti kisukari. Soma zaidi kufahamu
Ratiba ya chakula kwa mgonjwa wa kisukari husaidia kudhibiti kisukari. Hatahivyo kuna ya kuzingatia ili uweze kudhibiti kisukari. Soma zaidi kufahamu
Nafaka na umuhimu wake kwa afya Nafaka ni sehemu muhimu ya lishe yetu na zina jukumu kubwa katika kudumisha afya bora. Nafaka ni chanzo kikubwa
Nafaka na umuhimu wake kwa afya Read More »
Licha ya kubadilisha vyakula, kufanya mazoezi, kutumia dawa wagonjwa wengi wameshindwa kudhibiti kisukari. Nawe una changamoto hii? Fahamu sababu na suluhisho
Kwanini unashindwa kushusha kisukari licha ya kufuata masharti Read More »
Utata Kuhusu mayai Mayai yamekuwa chakula muhimu katika Milo ya watu wengi duniani kote, lakini wakati mwingine kuna maswali kuhusu ulaji wake hasa kwa wagonjwa
Ulaji wa Mayai kwa Mgonjwa wa Kisukari: Lishe, Tahadhari, na Ushauri Read More »
Fahamu vinywaji bora kwa mgonjwa wa kisukari vinavyosaidia kudhibiti sukari kwenye damu. Soma zaidi tafadhali
Je, Asali kwa mgonjwa wa kisukari ni Salama? Read More »
Fahamu vinywaji bora kwa mgonjwa wa kisukari vinavyosaidia kudhibiti sukari kwenye damu. Soma zaidi tafadhali
Vinywaji bora kwa mgonjwa wa kisukari Read More »
Sio protini zote zinazofaa kwa mgonjwa wa kisukari. Kwenye makala haya ya protini na kisukari tunakufundisha jinsi ya kuchagua protini bora kwa afya yako.
Protini na Kisukari: Chagua Protini Bora Kwa Afya Yako! Read More »
Je! Unajua kisukari kinaweza kuathiri afya ya uzazi kwa wanaume na wanawake? Kujifunza zaidi juu ya athari hizi na jinsi ya kudhibiti kisukari kwa afya bora ya uzazi.
Soma zaidi kufahamu: #Kisukari kinaweza kuathiri #afya ya #azani ya mwanaume na mwanamke. Fahamu athari hizi na namna ya kuziepuka. https://afyatechtz.com/athari-kisukari-kwenye-afya-uzazi-mwanaume-mwanamke/
@wizara_afyatz @mohznz1 @AdinanJKA
Hatua za Kufuata Kudhibiti Kisukari Kisiharibu Maisha Yako ya Kimapenzi Read More »
Je, unajua ni matunda gani ni mazuri kwa mgonjwa wa kisukari?
Ukimaliza kusoma makala haya utaweza kuchagua matunda ya kula kwa kufahamu mambo muhimu ya kuzingatia.
Matunda Muhimu kwa Mgonjwa wa kisukari: Dhibiti Kisukari Read More »
Mama mwenye kisukari unahitajika kunyonyesha kutokana na faida nyingi kwako na kwa mtoto wako. Moja ya faida hizi ni kupunguza hatari ya magonjwa. Hatahivyo unaponyonyesha kiwango cha sukari kwenye damu hubadilika hivyo kuhitaji wewe kuwa na uelewa sahihi ili kuweza kulinda afya yako na ya mtoto wako. Tafadhali soma zaidi
Lishe kwa mgonjwa wa kisukari anayenyonyesha Read More »