Dhibiti Kisukari na Furahia Kila Mlo Bila Hofu!
Anza Kudhibiti Kisukari Kwa Njia Zilizohakikiwa Sasa!
TSh. 49,000/=
Tuna uhakika na Ufanisi wa kitabu!
Moja ya sifa adhimu ya kitabu hiki ni kwamba tumekiandika na wagonjwa wa kisukari. Hatukuanza kukiuza mpaka pale tulipohakikisha kinajibu maswali ya uhalisia ya wagonjwa wa kisukari. Na baada ya wagonjwa kuanza kukitumia, hivi ndivyo wanavyosema…
Nafurahia Mlo wangu!
Nilikuwa na hofu ya kula chochote sukari itaongezeka. Kitabu hiki kimenisaidia kunifumbua macho na kufurahia chakula.
Jane M., Dar es Salaam.
Nimefahamu kwa uhakika
Nimejifunza mengi kuhusu lishe na kisukari. Sasa naweza kula vyakula ninaovipenda bila kuhatarisha afya yangu
Ahmed K., Arusha
Nafuraha sasa
Asante kwa mwongozo huu wa kina! Sasa naweza kufurahia matunda na vyakula vingine bila wasiwasi wa kisukari.
Fatma S., Zanzibar
Kula Vyakula Unavyovipenda?
Je, unakosa furaha ya kula vyakula unavyopenda kwa hofu ya kuongeza sukari yako? Sasa unaweza kula bila wasiwasi!
Ujasiri wa kuchagua na Kupanga Milo
Kosa la Kawaida: Huna Uhakika Nini Ule Nini Usile? Si lazima ujizuie kila kitu! Wengi huamini kwamba chakula kizuri kinapaswa kuachwa, lakini ni ufahamu sahihi unaohitajika.
Furahia Chakula Chako Bila Hofu ya Sukari!
Furahia maisha. Kuna njia ya kula vyakula unavyopenda bila kuhatarisha viwango vya sukari mwilini.
Badala ya TSh. 49,900/=
1. Uelewa na ujasiri wa kudhibiti kisukari kwa uhakika.
2. Pata ujasiri kuchagua na kupanga milo bora bila hofu.
3. Fahamu jinsi ya kufurahia wanga na vyakula vingine salama.
4. Epuka madhara ya kisukari kwa ufanisi na uhakika.
Urahisi wa kuelewa kitabu hiki
Baadhi ya Sura Muhimu Zilizomo Kwenye Kitabu Hiki
Jiamini kudhibiti kisukari kwa ufanisi
Muandishi
Walionunua Walikuwa na Maswali Haya
Kitabu kiko kwenye mfumo gani?
Ingawa baadhi ya wasomaji walikuwa na shaka kuhusu EBook, tuligundua mabadiliko makubwa baada ya kuwapa sura moja ya kitabu hiki katika mfumo wa soft copy.
Simu inamaandishi Madogo?
Unaweza kurekebisha ukubwa wa herufi na mwanga ili kusoma kwa urahisi na kufurahia zaidi. Hakuna usumbufu wa kurasa zilizopindika au mwanga hafifu.
Vipi simu ikiharibika?
Utaweza kupakua kitabu hiki tena endapo simu yako itapotea au kuharibika.
Nakipataje?
Kukipata kitabu tafadali
Bonyeza Kipate Leo. Kisha jaza fomu.
Ukishajaza fomu, bonyeza Place ORDER
Nafanyaje Malipo?
Lipia kwa namba hii ya AIRTEL –: 0783552959
Jina litakuja Juma Juma
Kisha tufahamishe kuhusu malipo yako.
Nia yetu ni wewe kuanza kudhbiti kisukari mapema. Hivo, hutajawahi kuzidisha dakika tano baaada ya mtu kulipia.