Je, umewahi kujikuta ukiacha vyakula unavyovipenda kwa hofu ya kuongeza sukari yako?
Habari njema ni kwamba, sasa unaweza kudhibiti kisukari huku ukiendelea kufurahia vyakula vya ladha nzuri!
Usikubali ugonjwa wa kisukari ubadilishe maisha yako—anza safari yako ya afya bora leo.
(Bei ya Kawaida: TSh. 49,000/=)
Usikose nafasi hii maalum ya kupata mwongozo bora wa kudhibiti kisukari kwa bei ya punguzo!
Weka oda sasa na lipia ndani ya saa 24 ili uhakikishe ofa yako.
Mgonjwa wa kisukari mmoja hupendelea sana kula mihogo. Kama unavyofahamu mihogo ina wanga mwingi.
Kwakuwa hakuwa na elimu sahihi, sukari yake ilikuwa inachezea kwenye 18-20Mmol/L.
Hatahivyo tulipomshauri kuhusu kutumia kiasi sahihi na namna ya kuchanganya, alifanikiwa na majibu ni kama unavyoyaona!
Kitabu hiki kinatoa mwongozo wa vitendo juu ya namna ya kula vizuri bila kujizuia!
“Nilikuwa na hofu ya kula chochote sukari itaongezeka. Kitabu hiki kimenisaidia kufurahia chakula bila wasiwasi!”
— Jane M., Dar es Salaam.
“Kwa mwongozo wa kitabu hiki, sasa naweza kula vyakula ninavyopenda bila kuhatarisha afya yangu.”
— Ahmed K., Arusha.
“Ninafurahia matunda na vyakula vingine tena, bila hofu ya kisukari! Asante kwa mwongozo huu wa kina.”
— Fatma S., Zanzibar.
Jifunze jinsi ya kupanga mlo unaodhibiti viwango vya sukari kwa ufanisi bila kuacha vyakula unavyovipenda.
Pata mbinu bora za kuepuka madhara ya kisukari na kuboresha afya yako.
Kuwa na uhakika kila siku kuhusu vyakula gani vinavyokufaa kwa kudhibiti kisukari na afya yako kwa ujumla.
Ingawa baadhi ya wasomaji walikuwa na shaka kuhusu EBook, tuligundua mabadiliko makubwa baada ya kuwapa sura moja ya kitabu hiki katika mfumo wa soft copy.
Unaweza kurekebisha ukubwa wa herufi na mwanga ili kusoma kwa urahisi na kufurahia zaidi. Hakuna usumbufu wa kurasa zilizopindika au mwanga hafifu.
Utaweza kupakua kitabu hiki tena endapo simu yako itapotea au kuharibika.
Kukipata kitabu tafadali
Bonyeza Kipate Leo. Kisha jaza fomu.
Ukishajaza fomu, bonyeza Place ORDER
Lipia kwa namba hii ya AIRTEL –: 0783552959
Jina litakuja Juma Juma
Kisha tufahamishe kuhusu malipo yako.
Nia yetu ni wewe kuanza kudhbiti kisukari mapema. Hivo, hutajawahi kuzidisha dakika tano baaada ya mtu kulipia.
Muongozo muafaka utakaokuelekeza hatua kwa hatua namna ya kuchagua na kupanga milo yako.