-
DAYS
-
HOURS
-
MINUTES
-
SECONDS

Dhibiti Kisukari Tumia AfyaPlan Application

Dhibiti Kisukari, Furahia Mlo wako!

Fahamu Aina. Kiasi. Namna ya kuchanganya

Zimebaki Kopi 50 kwa bei ya offer

Jiamini kudhibiti kisukari

Fahamu mbinu sahihi

Kiasi
Aina
Kuchanganya

Je, umewahi kujikuta ukilazimika kuacha vyakula unavyovipenda kwa hofu ya kuongeza sukari yako? 
Nafahamu jinsi ugonjwa wa kisukari unavyoweza kubadilisha mtindo wako wa maisha na hata kufanya iwe ngumu kufurahia mlo wako. 
Lakini habari njema ni kwamba, sasa unaweza kudhibiti kisukari huku ukifurahia mlo wako!

Faida

Kitabu hiki kinakubadilisha

Uelewa unakupa ujasiri, unaanza kufuatailia afya yako kwa ufanisi, unadhibiti na kuepuka madhara ya kisuakri

Ujasiri kuchagua vyakula

Usiyumbishwe. Fahamu kwa uhakika unachotakiwa kula kudhibiti kisukari. Usifuate upepo!

Wanga si ADUI

Unaweza kula wanga ila inabidi ufahamu aina za wanga, kiasi na namna ya kuchanganya na vyakula vingine

Kupanga Milo

Usidhoofike wala kusikia uchovu. Panga milo kwa usahihi na uhakika ili kuwa na afya bora.

Dhibiti kisukari

Kula bila houfu ya kuongeza sukari kwa hatari.

Zimebaki nakala 50 pekee kwa bei ya offer.

Weka oda yako sasa ili! Usisubiri bei kurudi TSh. 49,000/= 

Baadhi ya sura

Utanachojifunza kwenye kitabu hiki

Maarifa sahihi na mbinu rahisi kutekeleza ikiwakwa kwenye mifano rahisi

Kwanini ni muhimu kudhibiti kisukari kwa vyakula

Jinsi ya kufahamu wanga Salama

Matunda muhimu kwa mgonjwa wa kisukari

Mpango wa milo wa wiki nzima

Dhibiti na epuka madhara ya kisukari

Jinsi ya kutathmini tiba ya kisukari

Zaidi ya wanufaika 400

Jiunge na walionufahika kudhibiti kisukari kwa kupata elimu na mbinu sahihi

Kitabu hiki kinamfaa nani?

Utanufaika na kitabu hiki kama unamini kwamba:

Hakuna tiba kwa sasa

Ispokuwa tunadhibiti kisukari kwa vyakula, mazoezi na dawa, au vyote kwa pamoja

Unayependa kujifunza

Kutafuta maarifa kila kukicha kufahamu kwa uhakika ugonjwa wa kisukari.

Unahitaji matibabu mahususi

Wagonjwa wa kisukari ni tofauti. Wewe hufanani na mwengine.

Unaweza kudhibiti kisukari

Na kuepuka madhara yake, na wewe ndiye muhusika mkuu.

Dr. Adinan
Muandishi

Dr. Adinan J.

Adinan ni daktari, mtafiti na mhadhiri wa vyuo vya afya nje na ndani ya nchi. Kwa Tanzania anafundisha chuo cha afya cha KCMC. Dr. Adinan ni daktari na mtafiti.

Tangu 2016 Dr. Adinan amekuwa akiwasaidia wagonjwa kudhibiti na kuepuka madhara ya presha na kisukari kwa kuwafundisha kuchukua hatua stahiki wenye we tena wakiwa nyumbani.

Furahia Mlo Wako Dhibiti Kisukari Kula Bila Hofu

Pata uelewa na mbinu zote unazohitaji kuweza kudhibiti kisukari kwa vyakula

Scroll to Top